Habari za mjini zinadai kuwa, staa wa filamu Bongo, Aunt
Ezekiel yuko Dubai akiponda raha huku mumewe, Sunday Demonte akidaiwa
kuwa jela jijini Abu Dhabi katika nchi za Falme za Kiarabu (UAE).
Awali, ilidaiwa kuwa, Aunt aliondoka Bongo kwenda Dubai kuungana na
mumewe katika ndoa, lakini vyanzo vya karibu vikahoji mumewe yupi? Mbona
yuko jela baada ya kudakwa kwa kuishi kinyume cha
↧