Wizi wa milioni 500 Benki ya Barclays: Mameneja wa benki hiyo watiwa...
Hatimaye Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetoa taarifa ya wizi uliotokea katika Benki ya Barclays, Tawi la Kinondoni Aprili 15, mwaka huu, likisema tukio hilo lilipangwa ndani ya benki...
View ArticleTrafiki afia ndani ya daladala aliyoikamata mkoani Kilimanjaro..."wakiwa...
Ofisa wa polisi mwenye cheo cha Koplo, Wilson Mwakipesile wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Kilimanjaro amefariki dunia ghafla akiwa ndani ya daladala alilokuwa amelikamata. Hata hivyo,...
View ArticleWapinzani watoa sababu za kususa na kutoshiriki sherehe za miaka 50 ya...
Baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani wametoa sababu zilizowafanya wasihudhurie sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Katika sherehe hizo zilizofanyika...
View ArticleAskari 6 wa kikosi cha usalama barabarani ( Trafiki) wafukuzwa kazi kwa...
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya limewafukuza kazi Askari 6 wa kikosi cha Usalama barabarani Wilaya za Rungwe na Mbeya kwa tuhuma za kuomba,kushawishi na kupokea rushwa. Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya...
View ArticleWanafunzi watatu wapoteza maisha wakiogelea kwenye ‘Swimming Pool’ jijini Dar
Simanzi na vilio jana vilitawala katika Mtaa wa Kijitonyama Mpakani A, baada ya watoto watatu wa familia jirani kufariki dunia baada ya kuzama katika bwawa la kuogelea walipokuwa wakisherehekea siku ya...
View ArticleBasi la Hood ( Mbeya - Arusha ) lateketea kwa moto eneo la Wami, Pwani
Basi la Kampuni ya Hood, lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Arusha limeteketea kwa moto jana jioni eneo la Wami, Pwani. Hakuna majeruhi wala mtu yeyote aliyepoteza maisha katika ajali hiyo. <!--...
View ArticleHusna Iddi Kisoma, mkazi wa mkoa wa Pwani atiwa mbaroni na jeshi la polisi...
Jeshi la polisi mkoa wa Pwani linamshikilia Husna Iddi Kisoma (19) , mkazi wa Kisemvule Mkuranga mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kumuua mumewe Jumane Mwalami (21) baada ya kumvuta sehemu za siri na...
View ArticlePicha za ajali ya basi la Sumry: Waliofariki dunia ni watu 19 wakiwemo askari...
Baadhi ya miili ya wakazi wa kijiji cha Utaho wilaya ya Ikungi, waliogongwa na basi la Summry ikiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya mkoa wa Singida mjini humo. ************ ASKARI...
View ArticleAirtel yazindua Whatsapp,Facebook na twitter BURE kupitia vifurushi vya...
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel inayoongoza kwa kutoa huduma bora imezindua huduma ya kibunifu itakayowawezesha wateja wake kupata na kuunganishwa kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook, Whatsapp...
View ArticleLundenga akiri kuwepo wasichana wanaotoa rushwa ya ngono kupata taji la Miss...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency, ambao ni waandaji wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga amedai kuwa wasichana wengi wanaoingia kwenye mashindano ya Miss Tanzania hufanya mbinu za...
View ArticleVIDEO ya Basi la Hood kutoka Mbeya - kwenda Arusha likiteketea kwa moto eneo...
Basi la Kampuni ya Hood, lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Arusha limeteketea kwa moto tarehe 28 April jioni eneo la Wami, Pwani. Hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha katika ajali hiyo. Hii...
View ArticleUKAWA waruhusiwa kufanya mkutano wa hadhara Zanzibar leo
Hatimaye mkutano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), uliokuwa umezuiwa kupisha sherehe za Muungano utafanyika leo katika Viwanja vya Kibandamaiti, Unguja baada ya kupata baraka za polisi....
View ArticleMagazeti ya leo Jumatano ya tarehe 30 April 2014
Magazeti ya leo Jumatano ya tarehe 30 April 2014
View ArticleBinti aliyepigwa na Chid Benz yuko Mahututi....Kwa siku anazimia mara 5, Mama...
MREMBO Mwanaisha Kiboye, mkazi wa Ilala, Dar anayedaiwa kupigwa na mwanamuziki wa Kizazi Kipya Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’, hali imekuwa mbaya kwani yu mahututi. Juzi Jumatatu, wakati staa huyo...
View ArticleMajambazi yaua polisi wawili mkoani Tabora....Yalivamia nyumbani kwa...
Jeshi la Polisi limepata pigo kutokana na askari wake wawili kuuawa kwa kupigwa risasi na majambazi... Askari wawili wa jeshi hilo waliuawa kwa kupigwa risasi na majambazi katika Tarafa ya Usoke...
View ArticleMgomo wa wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi...
Hali bado si shwari katika kampuni ya ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi ‘STRABAG’ iliyopo maeneo ya Ubungo jijini Dar, ambapo asubuhi hii Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU)...
View ArticleSudani Kusini kujua hatima ya ombi lake la kujiunga na jumuiya ya Afrika...
Mkutano wa kumi na mbili wa viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki unaaanza rasmi hii leo mjini Arusha nchini Tanzania. Miongoni mwa maswala muhimu yatakayojadiliwa ni ombi la Sudan Kusini kutaka...
View ArticleBasi la AM Coarch lapata ajali Ipuli na kusababisha kifo cha mwanafunzi mmoja
Askari Polisi Kitengo cha usalama barabarani wakiuchukua mwili wa mtoto aliyegongwa na basi la kampuni ya A.M maeneo ya Ipuli Mnadani ambalo lilikuwa likitokea jijini Mwanza.Katika ajali hiyo watu...
View ArticleRais Kikwete ahudhuria mkutano wa Afrika Mashariki jijini Arusha leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Arusha(AICC) kwenye mkutano wa 12 wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki...
View ArticleMajambazi yajitangazia Serikali.....Wajiundia Jeshi la Ukombozi la Wana Sonjo...
Watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 500 wanaodhaniwa kuwa ni majambazi na majangili, wamejiundia serikali ndani ya Msitu wa Igombe mkoani Tabora, JAMHURI inathibitisha. Wamejiundia uongozi madhubuti...
View Article