Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Basi la AM Coarch lapata ajali Ipuli na kusababisha kifo cha mwanafunzi mmoja

$
0
0
Askari Polisi Kitengo cha usalama barabarani wakiuchukua mwili wa mtoto aliyegongwa na basi la kampuni ya A.M maeneo ya Ipuli Mnadani ambalo lilikuwa likitokea jijini Mwanza.Katika ajali hiyo watu kadhaa wamejeruhiwa. Umati mkubwa wa watu ambao ulifiika kushuhudia ajali hiyo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>