Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Rais Kikwete ahudhuria mkutano wa Afrika Mashariki jijini Arusha leo

$
0
0
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Arusha(AICC) kwenye mkutano wa 12 wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika mjini Arusha.Rais Kenyatta ndiye mwenyekiti wa jumuiya hiyo ya wananachama watano. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Rais Yoweri Kaguta

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>