$ 0 0 Basi la Kampuni ya Hood, lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Arusha limeteketea kwa moto jana jioni eneo la Wami, Pwani. Hakuna majeruhi wala mtu yeyote aliyepoteza maisha katika ajali hiyo. <!-- adsense -->