$ 0 0 Basi la Kampuni ya Hood, lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Arusha limeteketea kwa moto tarehe 28 April jioni eneo la Wami, Pwani. Hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha katika ajali hiyo. Hii ni video ya basi hilo wakati likiteketea kwa moto.....