Viongozi wa Nchi mbalimbali wawasili Nchini Kwa ajili ya Maadhimisho ya...
Rais Mstaafu wa Namibia Sam Nujoma akisalimiana na Dkt. Harisson Mwakyembe alipowasili Kwa ajili ya sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania Rais wa Lesotho Mfalme Letsie 111 akiwasili Kwa ajili...
View Article"Muungano unawanufaisha wananchi, Tuudumishe"....Asema Rais Kikwete
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika matembezi ya pamoja na viongozi wenzake wakati wa mapokezi ya matembezi ya Kizalendo yaliyofanywa na vijana nchini jana...
View ArticlePicha: Sherehe za miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar toka uwanja...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru...
View ArticleBaby madaha asimulia jinsi anavyotongozwa na wasanii wenzake wa...
Baby Madaha akipigana denda na msichana mwenzake Bar. **** Wakati sakata la kusagana ndani ya mastaa wa bongo movie likiwa bado bichi, Msanii wa muziki na maigizo Baby madaha...
View ArticlePicha: Askari magereza wakionesha jinsi wanavyopambana na wafungwa wakorofi...
'Wafungwa' wakijifua kupambana na askari Magereza katika moja ya maonesho yaliyotia fora sana kwenye sherehe za miaka 50 ya Muungano katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Askari...
View ArticlePicha: Jeshi la wananchi wa Tanzania ( JWTZ ) likionesha ujuzi wake na baadhi...
Makombora ya kutungulia ndege za adui yakionyeshwa kwa wananchi. Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kutoa heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete. Kikosi cha Makomandoo...
View ArticleMagazeti ya leo Jumapili ya tarehe 27 April 2014
Magazeti ya leo Jumapili ya tarehe 27 April 2014 <!-- adsense -->
View ArticleWaziri mkuu wa Korea Kusini ajiuzulu kufuatia kuzama kwa ferry iliyosababisha...
Waziri mkuu wa Korea Kusini Chung Hong-won amejiuzulu kufuatia kuzama kwa Ferry ya Sewol iliyokuwa na jumla ya abiria 476 wengi wao wakiwa ni wanafunzi na walimu, huko pwani ya kusini ya nchi hiyo wiki...
View ArticlePicha: ...Papa Francis awatangaza Mapapa John XXIII na John Paul II watakatifu
Mapapa wa zamani, John XXIII na John Paul II wametangazwa watakatifu Jumapili hii na Papa Francis hafla iliyoshuhudiwa na umati mkubwa wa waumini wa kanisa katoliki kwenye viwanja vya St. Peter’s...
View ArticleDiamond anatafutwa China.....Aliyejifanya dansa wake adakwa na madawa ya...
STAA wa muziki wa bongo fleva nchini, Abdul Nassib "Diamond" ametakiwa kutokanyaga kabisa nchini China na kwamba akitokeza pua yake nchini humo asahau kabisa kurudi uraiani......
View ArticleRais Kikwete azindua rasimi kituo cha magonjwa ya moyo Muhimbili.....
Rais Jakaya Kikwete akiongea na mmoja wa wagonjwa watoto waliofanyiwa upasuaji kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi jana April...
View ArticleRais Kikwete atoa msamaha kwa wafungwa 3,967 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho...
RAIS Jakaya Kikwete, ametoa msamaha kwa wafungwa 3,967 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho miaka 50 ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana na...
View ArticleJe, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unatatizo la kufika kileleni...
Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha. Tatizo hili linawakabili mamilioni ya wanaume duniani na limekuwa na athari...
View ArticleMwanafunzi wa chuo afariki katika chumba cha boyfriend wake akijaribu kutoa...
Mwanafunzi wa Eden Hilling College aliyetajwa kwa jina la Atu Gabriel amefariki akidaiwa kujaribu kutoa mimba kwa kunywa vidonge. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani (RPC), Orech Mtei, katika...
View ArticleProfesa J adai Diamond alilia machozi wakati anafanya chorus ‘Kipi Sijasikia’
Profesa J amesema Diamond Platnumz, alilia machozi wakati anafanya chorus ya wimbo wake ‘Kipi Sijasikia’ Rapper huyo alikiambia kipindi cha Sunrise cha Times FM kuwa wakati Diamond anarekodi chorus...
View ArticleRais Kikwete akabidhi Vitabu 2,181 kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo katika Ikulu ya Dar es Salaam amekabidhi vitabu 2,181 kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa ajili ya vyuo vya Jeshi ili kuongeza taaluma. Rais amekabidhi vitabu...
View ArticleShilole ajisifu kuwapiga vibuti wanaume......"katika uhusiano wa kimapenzi...
STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa katika uhusiano wa kimapenzi hajawahi kuachwa bali huwa anaacha mwenyewe. Akistorisha na mwanahabari wetu, Shilole alisema tangu...
View ArticleMajambazi yahukumiwa kifungo cha miaka 270 Jela wilayani Chunya mkoani Mbeya
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Chunya mwishoni mwa wiki iliwahukumu watu tisa kwenda jela jumla kwa miaka 270 baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa kutumia silaha. Washtakiwa hao ni Samweli...
View ArticleMagazeti ya leo Jumanne ya tarehe 29 April 2014
Magazeti ya leo Jumanne ya tarehe 29 April 2014 <!-- adsense -->
View ArticleBasi la Sumry (Kigoma-Dar) laua watu 14 papo hapo usiku wa kuamkia leo maeneo...
WATU 13 aiwemo askari wa kikosi cha usalama barabarani wamepoteza maisha baada ya kugongwa na basi la kampuni ya Sumry lililokuwa likitoka Kigoma kwenda Dar katika kijiji cha Ikungi mkoani Singida...
View Article