Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Basi la Sumry (Kigoma-Dar) laua watu 14 papo hapo usiku wa kuamkia leo maeneo ya Ikungi mkoani Singida

$
0
0
WATU 13 aiwemo askari wa kikosi cha usalama barabarani wamepoteza maisha baada ya kugongwa na basi la kampuni ya Sumry lililokuwa likitoka Kigoma kwenda Dar katika kijiji cha Ikungi mkoani Singida usiku wa  kuamkia  leo.  Ajali hiyo ilitokea baada ya ajali ya kwanza iliyolihusisha lori lililomgonga mwendesha baiskeli aliyepoteza maisha papo hapo na wakati wananchi wakiwa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>