Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Shilole ajisifu kuwapiga vibuti wanaume......"katika uhusiano wa kimapenzi sijawahi kuachwa bali huwa naacha mwenyewe"

$
0
0
STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa katika uhusiano wa kimapenzi hajawahi kuachwa bali huwa anaacha mwenyewe. Akistorisha na mwanahabari wetu, Shilole alisema tangu aanze kuwa na uhusiano, amekuwa bingwa wa kupiga ‘vibuti’ wanaume ambao hawaeleweki.   “Ukweli sijui nina nini ila naamini Mungu amenipa kitu cha pekee kwa sababu naweza

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>