Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo katika Ikulu ya Dar es Salaam
amekabidhi vitabu 2,181 kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa ajili ya vyuo
vya Jeshi ili kuongeza taaluma.
Rais amekabidhi vitabu hivyo kwa Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na
kuahidi kuendelea kutafuta vitabu zaidi kwa ajili ya kuboresha Maktaba ya Jeshi
iliyopo katika Chuo Cha Kijeshi kilichopo Monduli, Mkoani
↧