Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Picha: Jeshi la wananchi wa Tanzania ( JWTZ ) likionesha ujuzi wake na baadhi ya silaha za kivita wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano

$
0
0
 Makombora ya kutungulia ndege za adui  yakionyeshwa kwa wananchi.  Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kutoa heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.  Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kuonyesha uwezo wake katika mapambano ya Karatee na  mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete  Makomandoo hawa wakionyesha uwezo mkubwa wa mapambano na

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>