Jokate Mwegelo akanusha kupiga picha za Uchi.....
Jokate Mwegelo amekanusha vikali kuhusiana na picha za utupu zilizozagaa mitandaoni hivi karibuni kuwa si zake. Akizungumzia ishu hiyo, Jokate ambaye pia ni mwigizaji alisema kuna mitandao imeanzisha...
View ArticleJohari akanusha kutaka kufunga ndoa na Ostaz Juma
Msanii wa filamu nchini, Blandina Chagula maarufu kama Johari amekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na meneja wa Mtanashati Entertainment, Ostaz Juma. Akizungumza kwenye kipindi cha The Cruise cha...
View ArticleRay C Foundation yaandaa kipindi cha TV "Pamoja Inawezekana" ambacho...
Msanii wa muziki Rehema Chalamila ‘Ray C’, kupitia Ray C Foundation ameanza kuandaa kipindi chake cha TV ‘Pamoja Inawezekana” ili kuendelea na jitiada za kuendeleza kuelimisha jamii juu ya madawa ya...
View ArticleMagazeti ya leo Jumapili ya tarehe 20 April 2014
Magazeti ya leo Jumapili ya tarehe 20 April 2014 <!-- adsense -->
View Article"Hatuna mpango wa kurudi Bungeni tena....Tutakachokifanya ni kuzunguka...
LICHA ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta kuwa tayari kuzungumza na wajumbe wa Bunge hilo wanaounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wajumbe hao wametangaza kutokuwa...
View ArticleWaziri mkuu mstaafu , Cleopa Msuya asitaafu siasa...Rais Kikwete ampongeza
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akiwa viongozi wengine wakuu wa serikali chama cha Mapinduzi CCM, akiwemo Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana (kushoto) katika...
View ArticleMagazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 25 April 2014
Magazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 25 April 2014
View ArticleWema Sepetu afunguka......"Najuta kumlipia Kajala milioni 13, bora...
KAMA kuna kitu kinakukwaza ndani ya moyo wako, siku zote ukikaa nacho kitazidi kukuumiza lakini ukiamua kumtafuta mtu ambaye umeshibana naye na kumsimulia, moja kwa moja utakuwa umeutua mzigo! Hicho...
View ArticleManeno na Ratiba ya Maandamano na Mikutano ya Hadhara waliyotoa Kamati ya...
Kamati ya Tanzania kwanza ya Nje ya Bunge Maalum la Katiba jana wametoa ya moyoni mbele ya waandishi wa habari juu mwenendo mzima wa Bunge maalum la Katiba baada ya kutoridhishwa na kuonyesha ni kwa...
View ArticleSiku 67 za Mipasho na matusi bungeni.....Bunge la Katiba linaahirishwa leo...
Bunge Maalumu la Katiba linaahirishwa leo baada ya kukutana kwa siku 67 bila kupitisha hata ibara moja kati ya 240 zilizomo katika Rasimu ya Katiba. Badala yake Bunge hilo likiongozwa na Samuel...
View ArticleRais Kikwete amtolea uvivu Dr. Mwakyembe.....Ni kuhusu upitishaji dawa za...
RAIS Jakaya Kikwete amesema anaumia, kuchukizwa sana anapoona Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam (JNIA) na Kilimanjaro (KIA), vinapokuwa uchochoro wa kusafirisha dawa za...
View ArticleKigogo wa CHADEMA atupwa jela miaka 7
MWENYEKITI wa Serikali ya Mtaa wa Itiji, jijini Mbeya kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Ezekiel King (52) na mwenzake Bw. Antony Simon (53) wamehukumiwa kifungo cha miaka...
View ArticleMfanyabiashara wa Kariakoo afumaniwa gesti na mke wa Rafiki...
Mfanyabiashara maarufu wa simu za mikononi maeneo ya Kariakoo jijini Dar, aliyefahamika kwa jina moja la Devi, hivi karibuni alipatwa na soni ya aina yake baada ya kukutwa katika nyumba ya kulala...
View ArticleTatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume na UFUMBUZI wake kwa kutumia...
Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha. Tatizo hili linawakabili mamilioni ya wanaume duniani na limekuwa na athari...
View ArticleRais Kikwete amekubali kuongeza siku 60 za shughuli za Bunge Maalum la...
Bunge maalum la katiba limeahirishwa hadi agasti tano mwaka huu huku wabunge wa wakitahadharishwa kuacha kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wa iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba jaji mstaafu Joseph...
View ArticleMtoto wa Kajala aumizwa na ugomvi wa mama yake na Wema "Nampenda sana Wema"
Kutokana na ugomvi unaoendelea kati ya Wema Sepetu na Kajala Masanja,mtoto wa Kajala aitwaye Paulette amesema anaumizwa na ugomvi huo na kwamba amekuwa akimtumia ujumbe Wema kumweleza anavyompenda....
View ArticleMagazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 26 April 2014
Magazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 26 April 2014 <!-- adsense -->
View ArticleMwanamke achomwa kisu kisa mume wa mtu.....Aliyemchoma ni mwenye mume, kisu...
JESHI la polisi mkoani Tabora linamshikilia mwanamke aliyejulikana kwa jina la Pima Mabubu kwa tuhuma za kumchoma kisu mpaka kumjeruhi vibaya mwanamke mwenzake, Amina Hussein akidai ana uhusiano wa...
View ArticleMzimu wa Zitto Kabwe wamfiksha katibu wa CHADEMA , CCM
MZIMU wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe umeelezwa kumkimbiza hadi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Katibu wa Chadema jimbo la Mufindi Kusini, Emannuel...
View ArticleMuungano wa Tanganyika na Zanzibar watimiza miaka 50......
Waasisi wa Muungano wa nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (kushoto) na Hayati, Abeid Aman Karume (kulia waliokaa) wakisaini nyaraka za Muungano...
View Article