Msanii wa muziki Rehema Chalamila ‘Ray C’, kupitia Ray C Foundation
ameanza kuandaa kipindi chake cha TV ‘Pamoja Inawezekana” ili kuendelea
na jitiada za kuendeleza kuelimisha jamii juu ya madawa ya kulevya.
Ray C kupitia instagram yake amesema:
"Preparing my TV programme Pamoja
Inawezekana,Ray C foundation inawaletea kipindi cha pamoja
inawezekana,stay tuned people more to come.
↧