Msanii wa filamu nchini, Blandina Chagula maarufu kama Johari
amekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na meneja wa Mtanashati
Entertainment, Ostaz Juma.
Akizungumza kwenye kipindi cha The Cruise cha East Africa Radio,
Johari alisema kuwa hajawahi kuwa na uhusiano ya kimapenzi na Ostaz Juma
wala Ray. “Ni kweli haya mambo yanakuwa yanatokea na kuzushwa lakini
ukweli kwamba sijawahi
↧