Bunge Maalumu la Katiba linaahirishwa leo baada ya kukutana kwa
siku 67 bila kupitisha hata ibara moja kati ya 240 zilizomo katika
Rasimu ya Katiba.
Badala yake Bunge hilo likiongozwa na Samuel Sitta
“Mzee wa Kasi na Viwango” linaahirishwa hadi Agosti, mwaka huu
likiendelea kujadili Sura ya Kwanza na ya Sita zenye jumla ya Ibara 19,
zinazohusu masuala yanayojenga msingi wa aina ya
↧