Kamati ya Tanzania kwanza ya Nje ya Bunge Maalum la Katiba jana
wametoa ya moyoni mbele ya waandishi wa habari juu mwenendo mzima wa
Bunge maalum la Katiba baada ya kutoridhishwa na kuonyesha ni kwa jinsi
gani wajumbe hawana mapenzi ya dhati ya kutengeneza Katiba mpya.
Augstino Matefu ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya Tanzania kwanza
alianza kwa kusema:
"Ukiangalia wajumbe wengi
↧