KAMA kuna kitu kinakukwaza ndani ya moyo wako, siku zote ukikaa nacho
kitazidi kukuumiza lakini ukiamua kumtafuta mtu ambaye umeshibana naye
na kumsimulia, moja kwa moja utakuwa umeutua mzigo!
Hicho ndicho amekifanya Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu
‘Madam’ kwa kuweka kweupe chanzo cha ugomvi wake na staa mwenzake,
Kajala Masanja huku akijuta kumlipia mwanadada huyo zile Sh.
↧