RAIS Jakaya Kikwete amesema anaumia, kuchukizwa sana anapoona Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam (JNIA) na Kilimanjaro (KIA), vinapokuwa uchochoro wa kusafirisha dawa za kulevya kwenda mataifa mbalimbali.
Kutokana na hali hiyo, Rais Kikwete ametoa mwezi mmoja kwa Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe na watendaji wake akiwemo Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
↧