MWENYEKITI wa Serikali ya Mtaa wa Itiji, jijini Mbeya kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Ezekiel King (52) na mwenzake Bw. Antony Simon (53) wamehukumiwa kifungo cha miaka saba jela kwa kosa la shambulio la kumdhuru mwili Bw. Nicholaus Mwakasinga (56), mkazi wa mtaa huo.
Hukumu hiyo imetolewa jana na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa wa Mbeya, Maria Batulaine,
↧