Mfanyabiashara maarufu wa simu za mikononi maeneo ya Kariakoo jijini
Dar, aliyefahamika kwa jina moja la Devi, hivi karibuni alipatwa na soni
ya aina yake baada ya kukutwa katika nyumba ya kulala wageni akiwa na
mke wa rafiki yake wa karibu.
Mtoa habari makini alidai kuwa kisa kizima kilianza
baada ya mwenye mali (mume) kukuta ujumbe mfupi wa simu katika
kilongalonga cha mkewe
↧