LICHA ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta kuwa tayari kuzungumza na wajumbe wa Bunge hilo wanaounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wajumbe hao wametangaza kutokuwa tayari kurudi mjini Dodoma kwa majadiliano ya aina yoyote.
Badala yake, umoja huo umetangaza kuendelea na dhamira ya kuzunguka katika mikoa mbalimbali nchini ili `kushitaki’ kwa wananchi, kwa
↧