Bunge maalum la katiba limeahirishwa hadi agasti tano mwaka huu huku
wabunge wa wakitahadharishwa kuacha kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wa
iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba jaji mstaafu Joseph Warioba au
mjumbe yeyote binafsi wa iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba.
Akitoa maoni kabla ya kuahirishwa kwa bunge
hilo,mwanasiasa mkonge ambae pia ni mbunge wa bunge hilo, Mhe
↧