Kutokana na ugomvi unaoendelea kati ya Wema Sepetu na Kajala
Masanja,mtoto wa Kajala aitwaye Paulette amesema anaumizwa na ugomvi huo
na kwamba amekuwa akimtumia ujumbe Wema kumweleza anavyompenda.
Paulette alikuwa akizungumza na ‘Movie Leo’ ya kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.
“Vimekuwa vinaniuma sana ila hata kama wakisema vitu vyote ataendelea
kuwa mama yangu,” alisema.
“
↧