Alichosema bungeni Mh. Wassira kuhusu Tundu Lissu
April 16 2014 saa saba kasoro mchana makamu mwenyekiti wa bunge la katiba hapa Dodoma aliwasha kipaza sauti na kuzungumza kuhusu matangazo mawili yaliyomfikia, moja la wageni na la pili ni la hati ya...
View ArticleHati ya Makubaliano ya Muungano yawasilishwa Bungeni.
Makamu mwenyekiti wa bunge maalum la katiba, Samia Suluhu Hassan amesema amepokea hati ya makubaliano ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar iliyothibitishwa kisheria. Hati hiyo imefikishwa bungeni...
View ArticleMuasisi wa CHADEMA, mzee Edwin Mtei alaani kitendo cha Tundu Lissu kumtukana...
Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere, Baba na Muasisi wa Taifa letu. Inajulikana na umma wa...
View ArticleVIDEO: Sikiliza mchango wa Profesa Lipumba uliopelekea wajumbe wa UKAWA...
Audio na Video za mchango wa Prof. Ibarahim Lipumba alioutoa Bungeni siku ya Jumatano, Aprili 16, 2014 na kutamatia kwa baadhi ya wajumbe kutoka nje ya Bunge Maalum la Katiba ipo hapo chini baada ya...
View ArticleWajumbe wa Bunge la Katiba toka vyama vya upinzani leo jioni waligoma na...
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambao wanaunga mkono mfumo wa Serikali za tatu wakitoa katika Ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma baada ya kususia kikao Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambao...
View ArticleTaarifa ya TAHADHARI ya mvua kubwa katika Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja...
Taarifa kwa Umma: Vipindi vya mvua kubwa vinatarajiwa. Taarifa Na. 201404-02 Muda wa Kutolewa Saa 10:00 Alasiri Saa za Afrika Mashariki Daraja la Taarifa: Tahadhari Kuanzia: 17 Aprili, 2014 Tarehe...
View ArticleBunge maalumu la Katiba kuendelea leo licha ya baadhi ya wajumbe ( UKAWA )...
Vikao vya Bunge Maalum la Katiba vitaendelea tena leo kwa kujadili sura ya 1 na ya ile ya 6 ya Rasimu ya Katiba licha ya baadhi ya wajumbe kususia kikao hicho jana jioni na kutoka nje ya ukumbi kwa...
View ArticleMagazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 17 April 2014
Magazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 17 April 2014 <!-- adsense -->
View ArticleMwanafunzi wa chuo cha IFM akamatwa na Bangi kilo 50
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia abiria wa tatu waliokuwa wakisafiri na Basi la New Force kutoka Kahama kuelekea Jijini Dar es Salaam.Wanaoshikiliwa ni Kevin Prospar(aliyekaa pichani...
View ArticleUKAWA wamegoma kabisa kuhudhuria mkutano wa bunge maalum la katiba
Umoja wa katiba ya wananchi bungeni -UKAWA- umegoma kabisa kuhudhuria mkutano wa bunge maalum baada ya kutoka katika mkutano uliofanyika Aprili 16 kwa madai ya mkutano huo kugubikwa na matusi, kashfa...
View ArticleRais Kikwete akerwa na kitendo cha wanasiasa kumtukana Mwalimu...
Rais Jakaya Kikwete amesema ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu unaoonyeshwa na baadhi ya Watanzania kuwatukana, kuwadhihaki na kuwakejeli waanzilishi wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere...
View ArticleMagazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 18 April 2014
Magazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 18 April 2014 <!-- adsense -->
View ArticleMartin Kadinda amwita Lulu Michael Nyau
Mwanamitindo maarufu Bongo, Martin Kadinda amempongeza Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa kumuita nyau. Martin alifanya ishu hiyo wakati akimtakia Lulu Happy Birthday Aprili 16 ambapo mwanadada huyo...
View ArticleMwigulu Mchemba asimamisha malipo ya posho ya wabunge wote waliosusia vikao...
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Mchemba amesema serikali imesimamisha malipo ya posho ya wabunge wote waliosusia vikao vya bunge juzi. Pia, amesema wajumbe ambao ni watumishi wa umma, wataripotiwa kwa...
View ArticleStephen Wasira afunguka....Asema hashangazwi na kitendo cha kutoka nje ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira, amesema hakushangazwa na kitendo cha kutoka nje ya bunge wajumbe wa UKAWA kwani, ni matukio yaliyopangwa muda. Wasira alisema UKAWA...
View ArticleUchaguzi wa Serikali za Mitaa 2014 kuahirishwa....“Nikiri nafasi ni finyu...
UCHAGUZI wa serikali za mitaa, ambao hufanyika mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu, huenda usifanyike mwaka huu, imeelezwa. Hatua hiyo inatokana na uchaguzi huo kuingiliana na masuala ya kupata Katiba...
View ArticleTaarifa ya mabadiliko ya uelekeo wa barabara jijini Dar.....
MABADILIKO YA UELEKEO WA BARABARA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUANZIA SIKU YA TAREHE 28/04/2014. (TRAFFIC CIRCULATION AT CBD) Ufunguo wa ramani iliyopachikwa hapo juu:- RANGI YA NJANO - Njia ya...
View ArticleTaarifa ya jeshi la Polisi kuelekea sikukuu ya pasaka.....
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tunapoelekea kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka, Jeshi la Polisi nchini, linatoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika suala la usalama wa maisha na mali zao. Uzoefu...
View ArticleTaarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu kusitishwa Mkutano wa hadhara wa UKAWA...
YAH: TAARIFA YA KUSITISHWA MKUTANO WA HADHARA Naomba urejee barua yangu Kumbu. Nam. W/MGH/SO/7/2/A/4 ya tarehe 17 Aprili, 2014 inahusika. Ninakujulisha rasmi kuwa mkutano huo uliokuwa ufanyika kesho...
View ArticleMagazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 19 April 2014
Magazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 19 April 2014
View Article