Naibu Waziri wa
Fedha, Mwigulu Mchemba amesema serikali imesimamisha malipo ya posho ya
wabunge wote waliosusia vikao vya bunge juzi.
Pia, amesema wajumbe ambao ni watumishi wa umma, wataripotiwa kwa Katibu Mkuu Kiongozi kwa ajili ya hatua za kinidhamu.
Alisema licha
ya kuwa wajumbe hao wameshalipwa posho hizo hadi Aprili 26, mwaka huu,
tayari amesitisha malipo hayo ambayo yalikuwa
↧