Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen
Wasira, amesema hakushangazwa na kitendo cha kutoka nje ya bunge wajumbe
wa UKAWA kwani, ni matukio yaliyopangwa muda.
Wasira alisema
UKAWA walikuwa na mpango huo muda mrefu baada ya kuona hoja yao kuhusu
kutokuwepo kwa hati ya muungano kukosa ukweli.
Akizungumza na
waandishi wa habari jana, Wasira alisema sababu
↧