UCHAGUZI wa serikali za mitaa, ambao hufanyika mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu, huenda usifanyike mwaka huu, imeelezwa.
Hatua hiyo inatokana na uchaguzi huo kuingiliana na masuala ya kupata Katiba mpya, ambayo mchakato wake bado unaendelea.
“Nikiri nafasi
ni finyu sana ila tutalizungumza serikalini,” alisema Rais Jakaya
Kikwete, alipozungumza na baadhi ya wahariri Ikulu mjini Dar
↧