MABADILIKO YA UELEKEO WA BARABARA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM
KUANZIA SIKU YA TAREHE 28/04/2014. (TRAFFIC CIRCULATION AT CBD)
Ufunguo wa ramani iliyopachikwa hapo juu:-
RANGI YA NJANO - Njia ya uelekeo mmoja (One Way)
RANGI YA BLUE MPAUKO - Njia ya mielekeo miwili (Two Way)
RANGI YA KIJANI - Mitaa ya kutembea kwa miguu, magari marufuku (Walking streets)
RANGI NYEKUNDU - Barabara
↧