TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tunapoelekea kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka, Jeshi la Polisi nchini,
linatoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika suala la usalama wa
maisha na mali zao. Uzoefu unaonyesha kwamba, katika kipindi kama hiki
cha sikukuu kuna baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya
vitendo vya uhalifu.
Hata hivyo, Jeshi la Polisi katika mikoa yote
↧