YAH: TAARIFA YA KUSITISHWA MKUTANO WA HADHARA
Naomba urejee barua yangu Kumbu. Nam. W/MGH/SO/7/2/A/4 ya tarehe 17 Aprili, 2014 inahusika.
Ninakujulisha rasmi kuwa mkutano huo uliokuwa ufanyika kesho tarehe 19
Aprili, 2014 hapo Viwanja ya Demokrasia Kibanda Maiti umesitishwa kwa
sababu za
KIUSALAMA WA NCHI.
Kwa barua hii unatakiwa kuwajulisha Wanachama na wapenzi wote wa
↧