Umoja wa katiba ya wananchi bungeni -UKAWA- umegoma kabisa kuhudhuria
mkutano wa bunge maalum baada ya kutoka katika mkutano uliofanyika
Aprili 16 kwa madai ya mkutano huo kugubikwa na matusi, kashfa na
vitisho vinavyofanywa na baadhi ya viongozi kwa wananchi.
Akizungumzia masikitiko yake mwenyekiti wa kamati
ya bunge maalum, Mhe. Samweli Sita amesema licha ya bunge hilo kumwita
↧