Rais Jakaya Kikwete amesema ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa
adabu unaoonyeshwa na baadhi ya Watanzania kuwatukana, kuwadhihaki na
kuwakejeli waanzilishi wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere na
Sheikh Abeid Amani Karume.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo juzi alipokuwa
kwenye mahojiano maalumu na wahariri wa baadhi ya vyombo vya habari (wa
Mwananchi hawakuwapo) ya kuadhimisha
↧