Hati ya Muungano kuwasilishwa Bunge Maalum la Katiba baada ya siku mbili....
Na Magreth Kinabo/MAELEZO, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mahusiano na Utaribu, Stephen Wassira amesema Serikali itawasilisha Hati ya Makubaliano ya Muungano katika Bunge Maalumu la Katiba...
View ArticleTamko la Katibu Mkuu Kiongozi kwa Vyombo vya habari kuhusu Hati ya Muungano...
TAMKO LA KATIBU MKUU KIONGOZI KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HATI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR IKULU, DAR ES SALAAM, TAREHE 14 APRILI, 2014 _________________________________________ Siku 12...
View ArticleWaombolezaji katika msiba wa mzee Muhidin Maalim Gurumo nyumbani kwake Jana
Sehemu ya Waombolezaji wa Msiba wa nguli wa Muziki wa Dansi hapa nchini na aliekuwa kiongozi wa Bendi ya Msondo Ngoma,Marehemu Mzee Muhidin Maalim Gurumo wakiwa nyumbani kwake Mabibo (Tabata...
View ArticleMasaa 72 ya mwisho wa Muhidini Maalim Gurumo.....Alipewa chakula, akala,...
Mwanamuziki nguli wa muziki wa dansi nchini, Muhidini Maalim Gurumo aliyefahamika pia kama kamanda na mashabiki wa muziki wa dansi, aliyeaga dunia Jumapili iliyopita katika Hospitali ya Muhimbili...
View ArticleMafuriko jijini Dar.....Waliopoteza maisha wafika 13
Idadi ya waliokufa kutokana na mafuriko jijini Dar es Salaam imefikia watu 13 kufikia Jumatatu. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Sadiq Meck Sadiq amesema idadi hiyo huenda ikaongezeka baada ya kupata...
View ArticleMagazeti ya leo Jumanne ya tarehe 15 April 2014
Magazeti ya leo Jumanne ya tarehe 15 April 2014 <!-- adsense -->
View ArticleAkamatwa kwa kufukua maiti ya mtoto, kuipika mchuzi na kuila
Ni visa mbavyo wengi tulivisikia katika hadithi za kale, watu kuliwa na majitu, lakini katika siku za karibuni tumeshuhudia watu wakila viungo vya wenzao Jamhuri ya Afrika ya Kati katika jazba ya...
View ArticleMatangazo ya moja kwa moja ya Bunge Maalum la Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
Matangazo ya moja kwa moja ya Bunge Maalum la Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Video ipo hapo JUU....Ni matangazo ya moja kwa moja toka mjini Dodoma
View ArticleMajambazi yavamia na kupora fedha katika Benki ya Barcrays tawi la KINONDONI...
Watu wanaosadikiwa ni majambazi wamevamia Benki ya Barcrays tawi la KINONDONI jijini Dar Es Salaam na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo idadi yake haijajulikana mara moja. Tukio hilo limetokea leo...
View ArticleSafari ya Mwisho ya Marehemu Muhidin Gurumo katika makaburi ya...
Mwili wa marehemu Muhidin 'Maalim' Gurumo ukiwekwa eneo la makaburi ya Masaki-Kasarawe tayari kwa maziko. ******* Mwili wa Mzee Gurumo umezikwa makaburi ya Masaki-Kisarawe, Pwani ambapo mamia ya...
View ArticleWaliolipua bomu Arusha Kunaswa.....
WATU waliohusika na kutega bomu linalohisiwa kuwa ni la kienyeji katika baa ya Arusha Night Park huenda wakanaswa kirahisi baada ya polisi kuchukua mitambo ya usalama (CCTV) iliyofungwa kwa ajili ya...
View ArticleMvua yailazimisha DAWASCO kuzima mitambo ya maji
Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) limezima mitambo miwili ya uzalishaji maji kwenye mitambo yake ya Ruvu Juu uliopo Mlandizi, mkoani Pwani na Mtoni uliopo Temeke, Dar es Salaam....
View ArticlePicha za Rais Kikwete alipohani Msiba wa Muhidin Maalim Gurumo Ubungo...
Mmoja wa wana familia Bw. Salim Zagar akitoa taarifa fupi ya msiba wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo pamoja na mazishi yake kwa Mhe. Rais Jakaya M. Kikwete (picha: IKULU) Rais Kikwete akimfariji mjane...
View ArticleMaafisa wa jeshi la India wafutiwa kesi ya ubakaji baada ya kukubali kumuoa...
Maafisa wawili wa jeshi la India ambao walikuwa wakikabiriwa na kesi nzito ya kumbaka msichana mmoja wameachiliwa huru baada ya kukubali kumuoa msichana waliyembaka pamoja na mdogo wake. Kwa mujibu...
View ArticleKabla Mzee Gurumo hajafariki alimwandikia wimbo Diamond Platnumz, lakini...
Star wa Bongo fleva Diamond Platnumz amesema kuwa siku chache kabla mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Maalim Muhidin Gurumo hajaaga dunia alikuwa amemuandikia wimbo kama shukrani kwa kumpa...
View ArticleMagazeti ya leo Jumatano ya tarehe 16 April 2014
Magazeti ya leo Jumatano ya tarehe 16 April 2014
View ArticleWamiliki wa magari aina ya Toyota ( RAV 4, Hilux na Fortuner ) watakiwa...
Wamiliki wa magari ya Toyota nchini wametakiwa kuhakiki magari yao na kuyarejesha kwa uchunguzi yale yatakayobainika kuwa na hitilafu za kiufundi katika mfumo wa baadhi ya vifaa vyake. Taarifa ya...
View ArticleBunge Maalum la Katiba kuahirishwa Aprili 25 mwaka huu ili kupisha Bunge la...
Na Magreth Kinabo, Dodoma. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amesema Bunge hilo litahairishwa Aprili 25, mwaka huu. Bunge hilo, litaihirishwa ili kuweza kupisha Bunge la Jamhuri ya...
View ArticleJeshi la Polisi latangaza kitita cha Sh. Milioni 10 kwa mtu atakayesaidia...
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini (DCI),Isaya Mngulu ***** Jeshi la Polisi nchini limetangaza zawadi ya Sh. milioni 10 kwa atakayewezesha kukamatwa kwa watu waliotumia mabomu...
View ArticleMafuriko jijini Dar.....Idadi ya waliofariki yafikia 41
Mafuriko yaliyotokea Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki yamesababisha vifo vya watu 41. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki alisema vifo 25 vimethibitishwa. Ameagiza polisi kufanya...
View Article