Sehemu
ya Waombolezaji wa Msiba wa nguli wa Muziki wa Dansi hapa nchini na
aliekuwa kiongozi wa Bendi ya Msondo Ngoma,Marehemu Mzee Muhidin Maalim
Gurumo wakiwa nyumbani kwake Mabibo (Tabata Makuburi),jana.
Mmoja
wa wanamuziki wa zamani na aliewahi kufanya kazi Pamoja na Marehemu
Mzee Muhidin Maalim Gurumo,Mzee Shaaban Dede (wa pili kushoto) akiwa ni
miongoni mwa waombolezaji
↧