Mwanamuziki nguli wa muziki wa dansi nchini, Muhidini Maalim Gurumo
aliyefahamika pia kama kamanda na mashabiki wa muziki wa dansi, aliyeaga
dunia Jumapili iliyopita katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar,
alikutana na mateso ya kwa saa 72 za mwisho wake baada ya kulazwa akiwa
taabani kwa siku tatu.
Mtoto wa marehemu anayejulikana kwa jina la Abdalah aliliambia Uwazi kuwa siku mauti
↧