Idadi ya waliokufa kutokana na mafuriko jijini Dar es Salaam imefikia watu 13 kufikia Jumatatu.
Mkuu
wa mkoa wa Dar es Salaam, Sadiq Meck Sadiq amesema idadi hiyo huenda
ikaongezeka baada ya kupata taarifa za matukio ya mafuriko kutoka maeneo
yote ya mkoa wa Dar es Salaam.
Kwa
siku tatu mfululizo tangu Ijumaa iliyopita, mvua kubwa ziliendelea
kunyesha na kusababisha madhara makubwa
↧