TAMKO
LA KATIBU MKUU KIONGOZI KWA VYOMBO VYA HABARI
KUHUSU
HATI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
IKULU,
DAR ES SALAAM, TAREHE 14 APRILI, 2014
_________________________________________
Siku
12 zijazo tutasherehekea miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na
kuzaliwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wamezaliwa watu ndani ya Muungano
huu na wengine wana
↧