Na Magreth
Kinabo, Dodoma.
Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amesema Bunge hilo litahairishwa Aprili 25, mwaka huu.
Bunge hilo, litaihirishwa ili kuweza kupisha Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuendelea na shughuliza maandalizi ya Bajeti Kuu ya Serikali.
Kauli hiyo imetolewa
leo na Mwenyekiti huyo mara baada ya kuanza kwa kikao cha
↧