Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini (DCI),Isaya Mngulu
*****
Jeshi la Polisi nchini limetangaza zawadi ya Sh. milioni 10 kwa
atakayewezesha kukamatwa kwa watu waliotumia mabomu kulipua baa ya
Night Park mwishoni mwa wiki iliyopita.
Katika mlipuko huo, watu 17 wameripotiwa kujeruhiwa kati ya hao,
waliobaki wodini kuendelea na matibabu ni nane baada ya wengine
kuruhusiwa
↧