Mwili wa marehemu Muhidin 'Maalim' Gurumo ukiwekwa eneo la makaburi ya Masaki-Kasarawe tayari kwa maziko.
*******
Mwili wa Mzee Gurumo umezikwa
makaburi ya Masaki-Kisarawe, Pwani ambapo mamia ya watu wamehudhuria
maziko ya nguli huyo wa muziki wa dansi aliyefariki dunia juzi Jumapili
Aprili 13, 2014.
(Picha kwa hisani ya Global publishers)
<!-- adsense -->
↧