WATU waliohusika na kutega bomu linalohisiwa kuwa ni la kienyeji
katika baa ya Arusha Night Park huenda wakanaswa kirahisi baada ya
polisi kuchukua mitambo ya usalama (CCTV) iliyofungwa kwa ajili ya
kufanya uchunguzi.
Katika tukio hilo lililotokea mwishoni mwa wiki iliyopita, jumla ya
watu 17 walijeruhiwa, baadhi yao vibaya sana wakati wakinywa na
kufuatilia katika televisheni
↧