Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) limezima mitambo
miwili ya uzalishaji maji kwenye mitambo yake ya Ruvu Juu uliopo
Mlandizi, mkoani Pwani na Mtoni uliopo Temeke, Dar es Salaam.
Hatua
ya DAWASCO imetokana na mvua kubwa zilizonyesha kusababisha madhara
mbalimbali katika miji ya Kibaha, Pwani na Dar es Salaam.
Taarifa
ya DAWASCO kwa vyombo vya habari jana
↧