Watu wanaosadikiwa ni majambazi wamevamia Benki ya Barcrays tawi la
KINONDONI jijini Dar Es Salaam na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo
idadi yake haijajulikana mara moja.
Tukio hilo limetokea leo likihusisha watu watatu waliokuwa na pikipiki mmoja wao akiwa na bastola.
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar Es Salaam, Suleiman Kova amefika
katika eneo la tukio na kuahidi
↧