Magari yakwama Daraja la Ruvu kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.....
Baadhi ya Malori yakiwa katika foleni kubwa katika daraja la Ruvu kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha. Sehemu kubwa ya maji eneo la Ruvu. <!-- adsense -->
View ArticleDaraja la Mbagala ---Kongowe nalo lakatika kutokana na mvua kubwa...
Daraja la Mbagala-Kongowe likiwa limekatika kutokana na mvua kubwa zinazonyesha Daraja la Mbagala-Kongowe nalo limekatika na kufanya safari zote za kusini kusimama kutokana na mvua kubwa zinazoendelea...
View ArticleMorogoro nayo yakumbwa na Mafuriko kutokana na mvua kubwa zinazoendelea...
Mvua za masika zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha mafuriko pia katika mkoa wa Morogoro kama picha (juu na hapo chini) zilizopigwa katika maeneo ya Nane Nane, Mwembesongo na Mji Mpya...
View ArticleMvua yaua watu 10 jijini Dar, madaraja sita yabomoka.....Wakazi Jangwani...
Mvua kubwa ziliyonyesha mfululizo kuanzia juzi maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam zimesababisha vifo vya watu kumi na kuharibu miundombinu ya barabara ikiwamo madaraja sita kubomoka. Aidha, mradi...
View ArticleVideo Mpya : Lady Jaydee aachia rasmi video ya single yake mpya ...."NASIMAMA"
Judith Wambura aka Lady Jaydee ameachia rasmi video ya single yake mpya iitwayo ‘Nasimama’. Audio imetayarishwa katika studio ya Sharobaro Records na video imeongozwa na director Hefemi. Audio:...
View ArticleAthari ya Mvua jijini Dar : Walikubaliana ambebe mgongoni ili amnusuru...
Mrembo akisaidiwa kutolewa kwenye maji baada ya kudondoka na aliyekuwa amembeba. <!-- adsense -->
View ArticleRais Kikwete atembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko mkoa wa Pwani
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mmoja wa baadhi ya abiria waliokwama baada ya barabara ya Chalinze-Dar es Salaam kuharibiwa vibaya na mafuriko Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja...
View ArticleMzee Gurumo afariki dunia.....
Mkongwe wa Dansi nchini, Maalim Muhidin Gurumo aliyekuwa akitumikia Bendi ya Msondo Ngoma ‘Baba ya Muziki’ kabla ya kustaafu mwaka jana, amefariki dunia. Mwanamuziki huyo amefariki leo alasiri...
View ArticleMagazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 14 April 2014
Magazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 14 April 2014 <!-- adsense -->
View ArticleWanaswa kwa tuhuma ya kuwa na heroin kwenye kondomu
VIJANA wawili wenye asili ya kiasia, wakazi wa jiji la Arusha, wametiwa mbaroni na polisi mkoani hapa kwa tuhuma ya kukutwa na kete 170 za dawa za kulevya aina ya heroin na bangi kete 300....
View ArticleRose Muhando roho mkononi....Anusurika kutekwa, akimbilia Dar.....Ajali ya...
Mwanamuziki wa Injili daraja la kwanza nchini, Rose Muhando anaishi roho mkononi kufuatia madai kwamba kuna watu wanaomsaka wakisemekana wametumwa kuichukua roho yake. Kwa mujibu wa chanzo makini, Rose...
View ArticleAlex Msama anaendelea vizuri na matibabu baada ya kupata ajali mkoani Dodoma
Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dares salaam inayoandaa matamasha ya Pasaka na Krismwass Bw. Alex Msama anaendelea vizuri baada ya kupata ajali mkoani Dodoma kisha kupelekwa katika...
View ArticleBomu lajeruhi watu 15 mkoani Arusha waliokuwa kwenye baa moja iitwayo Arusha...
Watu 15 wamejeruhiwa kutokana na mlipuko wa bomu katika baa maarufu ya Arusha Night Park katika eneo la Mianzini katika jiji la Arusha. Tukio hilo lilitokea jana saa mbili usiku wakati mamia ya watu...
View ArticleMr Nice apata ajali akiwa kwenye Bajaji ....Abiria mwenzake afariki dunia...
Msanii mkongwe Mr Nice amepata ajali juzi ndani ya bajaji akiwa na abiria mwenzake jijini Dar. Ajali hiyo ilitokea baada ya gari moja "kuwachomekea ", hali iliyomfanya dereva wa Bajaji hiyo...
View ArticleMkuu wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Kahama agonga watu watatu kwa...
Majeruhi wa awali Joseph Malugu akiwa hospitali ya wilaya ya Kahama baada ya kuumia vibaya mguu wake na sehemu nyingine za mwili. *** via gazeti la MAJIRA -- Watu watatu wamejeruhiwa vibaya baada ya...
View ArticleRais Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari, Vijana,...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa...
View ArticleGari Dogo laangukiwa na lori lililokuwa limebeba mchanga....Juhudi za JWTZ,...
Picha za ajali iliyotokea asubuhi ya leo huko Makongo jijini Dar es Salaam ambapo lori lililokuwa limebeba mchanga lililiangukia gari dogo. Juhudi za Askari wa Jeshi la Wananchi wakishirikiana na...
View ArticlePicha mbalimbali toka jijini Arusha baada ya mlipuko wa bomu la jana
Kijana ambaye hakufahamika jina lake baada ya kupata majeraha makubwa mguuni. Hali ya sintofahamu iliyowakumba wakazi wa jiji la Arusha baada ya bomu kulipuka jana Majeruhi baada ya bomu kulipuka...
View ArticleRatiba ya mazishi ya msanii Maalim Gurumo aliyefariki jana.....
Leo saa 10 jioni kutakuwa na kisomo nyumbani kwa marehemu Tabata-Kisukulu jijini Dar es Salaam. Kesho saa 3 asubuhi mwili wa marehemu utawasili nyumbani kwake kwa ajili ya sala.Saa 4 asubuhi safari...
View ArticleProfesa Mwandosya atoa taarifa rasmi kuhusu ajali ya helicopter iliyotokea...
Waziri wa nchi ofisi ya rais, Profesa Mark Mwandosya ametoa taarifa rasmi kufuatia ajali ya helicopter iliyotokea jana na kuwahusisha makamu wa rais , Dr. Gharibu Bilali, Kamanda wa polisi kanda maalum...
View Article