Kijana ambaye hakufahamika jina lake baada ya kupata majeraha makubwa mguuni.
Hali ya sintofahamu iliyowakumba wakazi wa jiji la Arusha baada ya bomu kulipuka jana
Majeruhi baada ya bomu kulipuka
Mmoja wa majeruhi akiwa hoi baada ya mlipuko.
Credit: Global publishers