Leo saa 10 jioni kutakuwa na kisomo nyumbani kwa marehemu Tabata-Kisukulu jijini Dar es Salaam.
Kesho saa 3 asubuhi mwili wa marehemu utawasili nyumbani kwake kwa ajili ya sala.Saa 4 asubuhi safari ya kuelekea kijiji cha Masaki wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani kwa maziko itaanza.
Ndugu wa marehemu Gurumo
wakiwa katika picha ya pamoja, kuanzia kushoto ni mtoto wake Mwalimu
Muhidin,
↧