Waziri wa nchi ofisi ya rais, Profesa Mark Mwandosya ametoa
taarifa rasmi kufuatia ajali ya helicopter iliyotokea jana na
kuwahusisha makamu wa rais , Dr. Gharibu Bilali, Kamanda wa polisi kanda
maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,
Said Mecky Sadick.
Prefesa Mwandosya ametoa taarifa hiyo leo katika bunge maalum la
katiba mjini Dodoma ambapoImage may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.
