Na Magreth Kinabo/MAELEZO,
Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mahusiano na Utaribu, Stephen
Wassira amesema Serikali itawasilisha Hati ya Makubaliano ya Muungano katika Bunge Maalumu la Katiba baada ya siku mbili
zijazo.
Wassira ambaye ni
Mwenyekiti wa Kamati Namba Sita ya Bunge hilo ambazo zilikuwa zikijadili Sura
ya Kwanza na ya Sita za Rasimu ya Katiba, alitoa
↧