Mvua za masika zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha mafuriko pia
katika mkoa wa Morogoro kama picha (juu na hapo chini) zilizopigwa
katika maeneo ya Nane Nane, Mwembesongo na Mji Mpya zinavyoonyesha.
Vijana wa Kichangani, Manispaa ya Morogoro wakipita eneo la maji ya mafuriko
Wakazi
wakishikana mikono kupita eneo la mafuriko ya maji ya mvua eneo
barabara inayounganisha
↧