$ 0 0 Daraja la Mbagala-Kongowe likiwa limekatika kutokana na mvua kubwa zinazonyesha Daraja la Mbagala-Kongowe nalo limekatika na kufanya safari zote za kusini kusimama kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam. <!-- adsense -->